ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, February 19, 2017

Kamishna mpya wa Dawa za kulevya afunguka yanayoendelea

1 comment:

Anonymous said...

Maelezo ya maana kutoka kwa kamishina ila nadhani ingekuwa busara wanaohusika na masuala ya lugha kufuta neno dawa kwa hizi chemicals zinazotumika katika kuangamiza maisha ya watu na mali zao na badala yake ziitwe sumu kali za kulevya. Neno dawa kwa watanzania kwa asilimia kubwa huleta taswira ya kumsaidia mtu badala ya kumuangamiza. Neno dawa za kulevya halina uzito au kulingana na athari zake angalau zingeitwa dawa za kuua.