Paul Makonda atoa majibu kuhusu Mahusiano na Agness Masogange
4 comments:
Anonymous
said...
huyu makonda msanii tu. hata kuku asie na akili anajua masangonge alikamatwa sauz na drug. halafu anataka atajiwe. kwahiyo hata mtu akimtaja magufuliatamwambia aripoti polisi. yani mtu mwingine wanamtaja kakamatwa na kipisi cha bangi moja basi kawa muuza madawa. si aende ilala na kinondoni akakamate wavuta bangiwote. inaelekea hajui anafanya nini. kwanza bonge la mshamba. ulisikia nchi gani wanakamata watu kwa kusikia bila hata ya kidhibiti. analeta mambo ya kikoloni. anaharibu serikali ya magufuli kwa sifa zake na chuki zake binafsi. hata free mbowe lini aliuza unga. au manji anahitaji nini mpaka auze unga. au ndio usimba. ina maana haijui hata biashara ya unga ilivyo ana bwabwaja tu
Hii movie inachezwa na wenyewe! Nchi imegubikwa na mambo muhimu lakini yanafumbiwa macho hapa yanakwepwa mengi. Hivi ile ya Escrow, Lugumi, mil. 10 za wabunge, shisha, Faru Joni na vinginevyo vishamalizika
Mpaka pale Makonda atakaposhitakiwa kwa udhalilishaji, kukiuka taratibu au vyovyote vile katika hili tunakila sababu ya kuamini na kupongeza kazi yake.
Acha kuonea watu saidien masikin na watoto walemavu elimu yan hiii nchi mimi sijivunii kuwa mtz for sure hawafanyi mambo ya maaana kusaidia wagonjwa elimu dun duuuu.

Post a Comment