Advertisements

Sunday, April 30, 2017

Familia ya Aunty Martha Marealle wa DMV

Familia ya Aunty Martha Marealle wa DMV, inapenda kuwakaribisha ndugu, jamaa na marafiki kwenye misa ya kumbukumbu ya mpendwa binti yao marehemu Eva Marealle-Mwingizi. Marehemu Eva alifariki January 30, 2017 na kuzikwa February 6, 2017 Tanzania. 

Aunty Martha (Mama mzazi wa marehemu) amesharudi DMV. Yeye pamoja na familia yote wanapenda kuwakaribisha kwenye Misa itakayo fanyika siku ya Jumamosi ,April 29, 2017 . Saa 9 jioni ( sharp). 

Address: THE WAY OF THE CROSS CHURCH 
 405 RIGGS ROAD N.E. 
WASHINGTON D.C. 20011. 

Kwa taarifa zaidi, tafadhali wasiliana na wafuatao; ‪
Martha Marealle (202) 702‑6247‬. 
Sarah Towo (248) 514-0556
Gloria Temba ‪(832) 701‑5325‬. 
Britta Mawalla (301) 237-3399

 Karibuni wote !

No comments: