Advertisements

Monday, May 8, 2017

AISHA SEIF AMEIR AKAMATA NONDO PENN STATE UNIVERSITY

Aisha Seif Ameir siku ya Jumamosi May 6, 2017 aliandika ukurasa mpya katima maisha yake baada ya kukamata nondo ya Bachelor of Science Health & Human Development katika chuo kikuu jimbo la Pennsylvania Penn State University.
Ukumbi wa kiwanda cha mpira wa kikapu uliotumiwa na wahitimu chuo kikuu jimbo la Pennsylvania siku ya Jumamosi May 6, 2017 ambako Aisha aliandika historia mpya katika maisha yake baada ya kukamata nondo ya Bachelor of Science Health & Human Development.
Aisha akipata picha ya kumbukumbu.
Aisha akiwa katika picha ya pamoja na familia yake akiwemo baba na mama mzazi.

Aisha akiwa katika picha ya pamoja na familia yake na marafiki wa karibu wa familia waliokwenda kushuhudia Aisha anavyoandika ukurasa mpya wa historia ya maisha yake siku alipokamata nondo ya Bachelor of Science Health & Human Development
Aisha katika picha ya pamoja na familia yake.
 

1 comment:

Anonymous said...

Congratulations Aisha, Very nice! High five kwa wazazi wa binti huyu, mmefanya kazi nzuri sana! Vijana wa bongo diaspora, Please follow Aisha's footsteps.