Advertisements

Sunday, May 14, 2017

JASON ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA CHAPEL HILL, NORTH CAROLINA ATIMIZA MIAKA MITANO


 Mtoto Jason akipuliza mshumaa siku wazazi wake walipomfanyia hafla ya siku yake ya kuzaliwa siku ya Jumapili May 14, 2017 Chapel Hill, North Carolina nchini Marekani.
 Mtoto Jason akilishwa keki na mama yake
 Mtoto Jason akimlisha keki kaka yake
 Mtoto Jason amkilisha keki mama yake.
 Mtoto Jason akimlisha keki baba yake.

 Mtoto Jason katika picha na familia yake.
 Mama Jason katika picha na mpwa,
  Mtoto Jason akiwa katika picha na mama na kaka yake na wageni waliohudhuria siku yake ya kuzaliwa.
 Mtoto Jason akiwa katika picha na wazazi wake.

No comments: