Ibrahim Mkusa,
Akiwa na vazi la heshima uku akiwa na tabasamu mubashara baada ya kugraduate kutoka chuo cha Mass-Lowel kwa kumeza Nondo za Double Major Electrical Engineering and Computer Science. Kijana Ibrahim Mkusa katika sherehe yake hiyo aliambatana sambamba na familia yake Baba Mzee Saidi Mkusa, kaka Eddy Mkusa na
nephews zake Doctor na Kevan Mkusa.
Hapa ni familia ya Ibrahim wakiapa shavu,
Hapa Ibrahim akiwa na baba yake Mzee Said Mkusa.
Ibrahim akiwa familia yake.
No comments:
Post a Comment