Advertisements

Tuesday, May 16, 2017

TANZIA: MSIBA BOSTON NA TANZANIA

Familia ya Kan inasikitika kutangaza kifo cha AWUOR JOSHUA KAN kilichotokea huko Boston, Massachusetts mnamo tarehe 5/6/2017.

Marehemu ni mzaliwa na Kowak, Rorya, Mara Tanzania na alizaliwa mnamo March, 12, 1963.

Marehemu alikuwa akiugua cancer ya koo mpaka mauti imemkuta.

Marehemu ameacha mke na watoto wane.

Mipango inafanywa ya kusafirisha mwili wa marehemu huko nyumbani Kowak, Rorya, Mara, Tanzania week ijayo tarehe 5/25/2017.

Kutokana na gharama za kusafirisha maiti nyumbani, familia ya marehemu inapenda kuomba msaada kwa watanzania wowote au mtanzania yeyeto atakayeguswa na msiba huu kuwezesha kumsafirisha marehemu nyumbani kwa mazishi.

Marehemu ni ndugu wa Johnson Awour Awiti, Judith Ngullu, Margareth Awiti, Jane Nyagwegwe wote wa Pennsylvania na Teddi Lwande wa North Carolina

Account number kwa ajili ya mchango ni #

Kwa maelezo Zaidi piga simu kwa Johnson Awuor Awiti #215-262-2744

Judith Ngullu #215-237-2287

Kiango Nyagwewe #610-864-3914

HOME GOING FUND RAISING
PNC BANK. 
ROUTING #64002010
ACCOUNT #8618698515

CASH APP# 610 - 864- 3914. KIANGO NYAGWEGWE

Asante sana.

No comments: