ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, June 14, 2017

NIKOHUB TUNAFUTURISHA WATU 100 KILA SIKU KUANZIA LEO

Mambo yanazidi kuwa mazuri kwa wanaoenda na wakati kadri siku zinavyo zidi kwenda kufuatia ukuaji wa kitekenolojia siku hadi siku, hali hii inazidi kuleta manufaa na msukumo mkubwa wa kimaendeleo Duniani hasa kwa kurahisisha vyanja za utendaji kazi katika biashara.

Dar es salaam Kampuni ya Candy and Candy imekuja kivingine msimu huu wa Ramadhan kwa kutumia mfumo mpya tulio uanzisha wa kiteknolojia “Nikohub”tumeanza mchakato wa kufuturisha watu 100 kila siku kwa muda wa siku kumi.

Ili upate kushiriki Futari unatakiwa ku-download Nikohub kwenye Play Store katika simu yako. Kisha jiunge ili tuweze kukuona kwenye mfumo wetu na uingie kwenye list ya watu 100 watakao kula futari leo.

Ukifanikiwa ku-downloda tutumie SMS au piga 0765802457 tukuelekeze sehemu ya kwenda kula futari maeneo ya huko uliko ni bure!.

No comments: