Advertisements

Tuesday, June 13, 2017

PREPAID LEGAL INAYOTOKANA NA MATATIZO YA KISHERIA

Ndugu zangu, marafiki zangu, watu mnaonifahamu na msionifahamu nimejitoa kufungua Biashara ya Prepaid legal.....kutokana na matatizo ya Kisheria ambayo jamii yetu, na jamii zetu kwa ujumla tumejikuta hatujui la kufanya Kisheria hivyo kuanza kuchangishana na kutokujua mwanasheria yupi atakusaidia kwa kosa lipi.

Ukweli ni kwamba ukijiunga na huduma hi ambayo utalipia kwa mwezi toka dola 17 mpaka arobaini.....

Utakua umejiandaa kuanzia ushauri wa Kisheria Binafsi including uhamiaji, Divorce, jinsi ya kuingia mikataba na mengineyo.

Pia kwa Biashara na jinsi ya kusoma mikataba

Nawaomba wenzangu tujiunge kusudi upate ushauri hapa ugenini

Hiyo ni page yangu imeeleza kirefu sana na kwa kina jinsi ya kujiunga na Nini ufanye

Ni Mimi wenu
Peter Kapanga

https://www.legalshield.com/hub/pkapanga

No comments: