Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akikutana na wakuu wa mikoa wote katika kikao
kilichohudhuriwa pia na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri
Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi,
baadhi ya mawaziri na Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju Ikulu
jijini Dar es salaam leo Juni 13, 2017
No comments:
Post a Comment