Advertisements

Friday, June 9, 2017

SERIKALI YAOKOA SH. BILIONI 53.9 - WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Semina ya Mtandao wa Wabunge Africa Tawi la Tanzania walio katika Mapambano Dhidi ya Rushwa (APNAC) Kushoto kwa Waziri Mkuu ni Naibu Spika Dr Tulia Apsoni na Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Utumishi na Utawala Bora Anjela Kairuki, Kulia ni Mwenyekiti wa Mtandao wa Wabunge Tawi la Tanzania walio katika Mapambano Dhidi ya Rushwa (APNAC) Kepteni Mstaafu( MB) John Mkuchika, na Mbunge wa wa Manyoni Mashariki Daniel Mtuka Nyuma walio simama ni wa Bunge wanao shiriki Semina hiyo ya siku Mbili ambayo inaendeshwa na UNDP. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Utumishi na Utawala Bora Anjela Kairuki ,baada ya kufungua Semina ya Mtandao wa Wabunge wa Africa Tawi la Tanzania walio katika Mapambano Dhidi ya Rushwa (APNAC) katikati ni Naibu Spika Dr Tulia Apsoni, Semina hiyo ya siku mbili inafanyika Mkoani Dododma katika ukumbi wa Hoteli ya African Dreams . June 9, 2017 na June10,2017 nakuendeshwa na UNDP. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimina na Mshauri wa Maswala ya Bunge kutoka ofisi ya Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa Tawi la Tanzania ,Bibi Anna Hovhannesyan , baada ya kufungua Semina ya Mtandao wa Wabunge Africa Tawi la Tanzania walio katika Mapambano Dhidi ya Rushwa (APNAC) Semina hiyo ya siku mbili inafanyika Mkoani Dododma katika ukumbi wa Hoteli ya African Dreams . June 9, 2017 na June10,2017 nakuendeshwa na UNDP. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments: