Mkurugenzi wa Shirika la ndege la Turkish Airlines nchini Tanzania, Ahmet Sahin, akiwakaribisha wageni waliohudhuria Iftar iliyoandaliwa kwa ajili ya wageni na wadau mbalimbali iliyofanyika jana katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wageni waalikwa wakipakua na kupata chakula cha futari iliyoandaliwa na shirika la ndege la Turkish Airlines.
Wageni na wadau mbali mbali wakipata Iftar iliyoandaliwa na Shirika la ndege la Turkish Airlines nchini Tanzania iliyofanyika jana katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Wageni waalikwa wakibadirishana mawazo katika hafla hiyo.
Baadhi ya wageni waalikwa wakiongea na Mkurugenzi wa Shirika la ndege la Turkish Airlines Tanzania, Ahmet Sahin.
No comments:
Post a Comment