ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 3, 2017

Benki ya NIC yakabidhi misaada mbalimbali katika kituo cha watu wenye mahitaji maalumu Mburahati

Wafanyakazi wa Benki ya NIC wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhi msaada wa mahitaji mbalimbali ya kibinadamu katika kituo cha watu wenye mahitaji maalumu (jina limehifadhiwa) kilichopo Mburahati Jijini Dar Es Salaam.
 Mkurugenzi mkuu wa uendeshaji wa benki ya NIC, Bi Beatrice Kyanzi akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi msaada wa mahitaji mbalimbali ya kibinadamu katika kituo kimoja cha watu wenye mahitaji maalumu (jina linahifadhiwa) kilichopo Mburahati Jijini Dar Es Salaam.
Picha ya Pamoja.Picha zote na Josephat Lukaza - Lukaza Blog

No comments: