Advertisements

Tuesday, July 18, 2017

KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akiongea na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) habari wakati wa mkutano wa Waandishi wa habari uliofanyika Ofisini kwake mtaa wa Luthuli jijini Dar Es Salaam.

No comments: