Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa
Mkata wakati alipokuwa njiani kuelekea mkoani Tanga kwa ajili ya
ziara ya kikazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa
Mkata waliosimama pembeni ya barabara kuu ya Chalinze-
Segera (hawaonekani pichani) mara baada ya kumaliza kuhutubia
katika kijiji cha Mkata mkoani Tanga.
Viongozi mbalimbali wa mkoa wa Tanga akiwemo
Wabunge na wakuu wa Wilaya wakipiga makofi wakati Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe
Magufuli alipokuwa akihutubia Mkata mkoani Tanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa
waliosimama pembeni ya barabara kuu ya Chalinze Segera katika
eneo la Kwa mkonga wakati akiwa njiani kuelekea Tanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa
Kabuku mara baada ya kumaliza kuwahutubia wakati akielekea
mkoani Tanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kabuku
Handeni mkoani Tanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa
Tanga, Martin Shigela kabla ya kuwahutubia wananchi wa Hale
mkoani Tanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Hale
mkoani Tanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mmoja ya wakazi
wa Hale mkoani Tanga mara baada ya kuhutubia katika eneo hilo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mwanachama wa
Chama cha Mapinduzi CCM Hadija Juma mara baada ya kusoma
ujumbe ulioandikwa kwenye sare aliyovaa mama huyo.
Wananchi wa Muheza wakimpokea Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe
Magufuli mara baada ya kufika katika eneo hilo la mjini akiwa
njiani kuelekea Tanga. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake