Baadhi ya dawa ya Kulevya yanayosadikiwa kuwa ni Bangi yaliokamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba katika Bandari ya Mkoani Kisiwani humo, na Abiria aliekuwemo katika Meli ya Azam 11, ikitokea Unguja hapo jana.
Dawa ya kulevya yanayosadikiwa kuwa ni Bangi , yakimwagwa kwenye meza ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini ,Shekhan Moh'd Shekhan.
Mfuko ambao ulihifadhiwa Madawa hayo yanayosaidikiwa ni Bangi, ambayo yalikamatwa Mkoani Pemba, na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba.
No comments:
Post a Comment