Advertisements

Tuesday, September 19, 2017

Happy Birthday Kamanda Ras Makunja

Siku kama ya leo 19 September ndio siku ya kuzaliwa mkuu wa bendi ya Ngoma Africa aka FFU ya kule ujerumani, mwanamuziki Ebrahim Makunja aka kamanda Ras Makunja aka mkuu wa viumbe wa ajabu "Anunnaki Alien" alizaliwa mjini Dar-es-Salaam,
akiwa mtoto wa kwanza wa kiume wa Bw.Jumanne Saleh Makunja Ngayonga (RIP) na Bi.Moza Hassan Seifu Mpili (Mama Makunja),
Mwanamuziki Kamanda Ras Makunja mtunzi na mwimbaji mahili wa muziki wa dansi leo ndio Happy Birthday !!!!! yake
pia unaweza kuburudika na kusherekea naye katika kambi yao FFU-Ughaibuni at www.reverbnation.com/ngomaafricaband
http://www.ngoma-africa.com au www.facebook.com/ngomaafricaband

No comments: