ANGALIA LIVE NEWS

Friday, September 22, 2017

RAIS DK. SHEIN AFUNGUA WA MSIKITI MASJID JAAMIU ZINJIBAR -MAZIZINI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwapungia mkono Waislamu mbali mbali alipowasili katika ufunguzi Msikiti Massjid Jaamiu Zinjibar uliopo  Mazizini Wilaya Magharibi 'B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo,sambamba na  Kituo Kikuu cha Sayansi na Utamaduni cha Sultan Qaboos,"Sultan Qaboos Higher Center for Culture and Science" ambao   umejengwa na Serikali ya Zanzibar kwa kushirikiana na Serikali ya Oman.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Kituo Kikuu cha Sayansi na Utamaduni cha Sultan Qaboos,"Sultan Qaboos Higher Center for Culture and Science" Mhe.Habib Mohammed Al-Riyami mara alipowasili katika ufunguzi Msikiti Massjid Jaamiu Zinjibar uliopo  Mazizini Wilaya Magharibi 'B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo,uliojengwa na Serikali ya Zanzibar kwa kushirikiana na Serikali ya Oman.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Viongozi mbali mbali  mara alipowasili katika ufunguzi Msikiti Massjid Jaamiu Zinjibar uliopo  Mazizini Wilaya Magharibi 'B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo,ambao umejengwa na Serikali ya Zanzibar kwa kushirikiana na Serikali ya Oman.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein alipofuatana na Viongozi mbali mbali wakiwemo Kituo Kikuu cha Sayansi na Utamaduni cha Sultan Qaboos,"Sultan Qaboos Higher Center for Culture and Science" wakati alipotembelea sehemu mbali mbali za Msikiti Masjid Jaamiu  Zinjibar baada ya kuufungua rasmi leo,ambao  umejengwa Mazizini Wilaya Magharibi 'B" Mkoa wa Mjini Magharibi kwa Ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serikali ya Watu wa Oman.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kituo Kikuu cha Sayansi na Utamaduni cha Sultan Qaboos,"Sultan Qaboos Higher Center for Culture and Science" Mhe.Habib Mohammed Al-Riyami wakati alipotembelea sehemu mbali mbali mara alipofungua Msikiti Massjid Jaamiu Zinjibar uliopo  Mazizini Wilaya Magharibi 'B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo,uliojengwa na Serikali ya Zanzibar kwa kushirikiana na Serikali ya Oman.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipokea Shahada na Ufunguo kutoka kwa Mkuu wa Kituo Kikuu cha Sayansi na Utamaduni cha Sultan Qaboos,"Sultan Qaboos Higher Center for Culture and Science" Mhe.Habib Mohammed Al-Riyami kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Msikiti Masjid Jaamiu  Zinjibar leo uliojengwa kwa Ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serikali ya Watu wa Oman katika maeneo ya Mazizini Wilaya Magharibi 'B" Mkoa wa Mjini Magharibi.
 Baadhi ya Viongozi na Waislamu mbali mbali wakiwa katika Msikiti Massjid Jaamiu Zinjibar uliofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) ambao umejengwa na Serikali ya Zanzibar kwa kushirikiana na Serikali ya Oman,katika eno la Chuo cha Kiislamu Mazizini Wilaya Magharibi 'B" Mkoa wa Mjini Magharibi.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Mkuu wa Kituo Kikuu cha Sayansi na Utamaduni cha Sultan Qaboos,"Sultan Qaboos Higher Center for Culture and Science" Mhe.Habib Mohammed Al-Riyami (katikati) pamoja na Viongozi na Waislamu mbali mbali  wakiwa katika  Msikiti Massjid Jaamiu Zinjibar uliopo  Mazizini Wilaya Magharibi 'B" Mkoa wa Mjini Magharibi baada ya kuufungua leo,ambao umejengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kushirikiana na Serikali ya Oman.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na Viongozi mbali mbali  na ujumbe wa Serikali ya Oman wakiwa katika Swala ya Ijumaa Iliyoswalishwa na Sheikh Fadil Soraga leo baada ya ufunguzi rasmi wa Msikiti Massjid Jaamiu Zinjibar uliopo  Mazizini Wilaya Magharibi 'B" Mkoa wa Mjini Magharibi,ambao umejengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kushirikiana na Serikali ya Oman.
  Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibae Sheikh Fadhil Soraga alipokuwa akitoa Khutba ya Swala ya Ijumaa leo wakati wa ufunguzi rasmi wa Msikiti Masjid Jaamiu  Zinjibar uliofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) sambamba na   Kituo Kikuu cha Sayansi na Utamaduni cha Sultan Qaboos,"Sultan Qaboos Higher Center for Culture and Science" ,msikiti huo umejengwa kwa Ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serikali ya Watu wa Oman katika maeneo ya Mazizini Wilaya Magharibi 'B" Mkoa wa Mjini Magharibi.

 Mkuu wa Kituo Kikuu cha Sayansi na Utamaduni cha Sultan Qaboos,"Sultan Qaboos Higher Center for Culture and Science" Mhe.Habib Mohammed Al-Riyami alipokuwa akitoa maelezo mafupi kabla ya kukabidhi Shahada na Funguo kwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) ikiwa kama ugunguzi rasmi wa  Msikiti Massjid Jaamiu Zinjibar uliojengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kushirikiana na Serikali ya Oman katika Eneo la Chuo cha Kiislamu Mazizini Wilaya Magharibi 'B" Mkoa wa Mjini   Magharibi baada ya kuufungua leo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa   Msikiti Masjid Jaamiu  Zinjibar,sambamba na Kituo Kikuu cha Sayansi na Utamaduni cha Sultan Qaboos,"Sultan Qaboos Higher Center for Culture and Science" , uliojengwa Mazizini Wilaya Magharibi 'B" Mkoa wa Mjini Magharibi kwa Ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serikali ya Watu wa Oman.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na Viongozi mbali mbali wa Serikali ya Watu wa Oman baada ya kumalizika kwa sherehe za ufunguzi wa Msikiti Massjid Jaamiu Zinjibar uliopo  Mazizini Wilaya Magharibi 'B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo,uliojengwa na Serikali ya Zanzibar kwa kushirikiana na Serikali ya Oman.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiagana na Mkuu wa Kituo Kikuu cha Sayansi na Utamaduni cha Sultan Qaboos,"Sultan Qaboos Higher Center for Culture and Science" Mhe.Habib Mohammed Al-Riyami (katikati) pamoja na Viongozi na Waislamu mbali mbali  baada ya kumalizika sherehe za ufunguzi wa Msikiti Massjid Jaamiu Zinjibar uliopo  Mazizini Wilaya Magharibi 'B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo,ambao umejengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kushirikiana na Serikali ya Oman.

No comments: