Advertisements

Monday, September 18, 2017

Taarifa ya Kisomi cha mtoto wa Bi Moza DMV



TAARIFA YA KISOMO CHA MTOTO WA BI MOZA DMV

Familia ya Dada Yetu Bi Moza Khamis inawataarifu Kisomo cha Mtoto wao Mpendwa Mohammed Said Mohammed.

Kitakachofanyika, Siku ya Jumapili, September 24, 2017

Kuanzia Saa Kumi na Mbili Jioni hadi Saa Tatu Usiku (6:00PM – 9:00PM)

Anuani:
Indian Spring Terrace Local Park
9717 Lawndale Dr.
Silver Spring, MD  20901

Kama Ilivyo ada, tunaombwa tujumuike pamoja na Familia.
 Pia Bi Moza na Familia Yake Wanatoa Shukran za Dhati kwa kuwa pamoja nao toka kipindi cha kumuuguza Kijana wao hadi Mola alipomchukua, hawana cha kuwalipa ila Mola atawalipa kwa Wema Wenu.

Ukipata Taarifa hii Tafadhali Mjulishe Mwenzio.

Kwa Taarifa Zaidi Wasiliana na

Bi Moza Khamis 240-722-2670
Ali Mohammed 301-500-9762
Asha Hariz 703-624-2409
Mussa Linga 202-421-0313


Inna Lillahi wa Inna Ilayhi Raajioun – Hakika Sisi ni wa Mola, na Kwake ni Marejeo
(Quran Surat Al Baqarah 2:156)

No comments: