Advertisements

Friday, October 20, 2017

ASKARI WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI WAKITOA ELIMU MAENEO MBALIMBALI MKOANI KILIMANJARO

Askari wa kikosi cha Usalama Barabarani CPL Juma Selemani, akitoa elimu katika Shule ya Msingi Custom iliyopo wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama Barabarani.
Askari wa kikosi cha Usalama Barabarani PC Ndugunamiti, akiwa na Juma Abdallah mwanafunzi wa Shule ya msingi Majengo wilayani Same Mkoani Kilimanjaro alipokuwa akichangia mada iliyokuwa ikitolea shuleni hapo katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama Barabarani.

Mkaguzi wa kikosi cha Usalama Barabarani wilayani Moshi Mshangama Nyangasa, akitoa elimu katika shule ya msingi Majengo iliyopo mkoani Kilimanjaro katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama Barabarani.

No comments: