ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, October 7, 2017

Jukwaa la mjadala wa Afya, Jumamosi Novemba 11, 2017 - Greenbelt, MD.

Jumuiya ya Watanzania waishio Marekani, DICOTA, inapenda kuwaalika Watanzania na marafaki wa Tanzania katika  Jukwaa la mjadala wa Afya utakaofanyika  Jumamosi Novemba 11, 2017, Greenbelt Maryland. Jukwaa hili limeletwa kwa udhamini mkubwa wa Shirika la Maendeleo. Nyote mnakaribishwa. Kwa maelezo zaidi sikiliza ujumbe ufuatao.

No comments: