FAIDA ZA KUTUMIA HUDUMA HII:
- Fahamu biashara zilizo karibu nawe
- Pata biashara zenye mapunguzo ya bei
- Pata Matukio yanayoendelea ndani ya jamii unayoishi
- Pata kiashiria kujua tukio au punguzo la bei.
- Pata urahisi wa kufika kwenye huduma
- Pata namba ya simu ya Biashara au Huduma
- Pata tovuti sahihi ya Biashara au Huduma
- Tangaza huduma yako katika jamii inayokuzunguka kwa urahisi na ufasaha
JINSI YA KUSAJILI BIASHARA AU HUDUMA YAKO:
▪Barua pepe datadev.afrojiu@gmail.gmail.com
▪Tovuti: www.africandealsfinder.com
▪Whatsapp +1 614 680 3212
HABARI NJEMA KWA JAMII:
▪ Kwa maeneo ambayo hayajafikiwa bado tunapenda kuwakaribisha wote kutumia huduma zetu kwa kurahisisha Mawasiliano na matangazo ya Biashara, Taarifa za Matukio na Huduma mbalimbali ndani ya jamii kwa urahisi na ufasaha zaidi.
DOWNLOAD IT TODAY:
- Apple Store: https://appsto.re/us/Ltj-db.i
- Googleplay: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.afrojiu.app
No comments:
Post a Comment