Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge mara baada ya kuwasili mkoani hapo ambapo kesho Makamu wa Rais atazindua Sera ya Taifa ya Huduma Ndogo za Fedha ya Mwaka 2017 pamoja na Mkakati wa Utekelezaji. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge mara baada ya kuwasili mkoani hapo ambapo kesho,Makamu wa Rais atazindua Sera ya Taifa ya Huduma Ndogo za Fedha ya Mwaka 2017 pamoja na Mkakati wa Utekelezaji.
No comments:
Post a Comment