ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, October 28, 2017

NAIBU WAZIRI AWESO AWATAKA WAKAZI WA PANGANI KUWA NA MSHIKAMANO ILI KUPATA MAENDELEO

NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso akiwahutubia wananchi wa wilaya ya Pangani kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa sokoni ambapo alisisitiza umoja na mshikamano kwa wananchi ili kuweza kusukuma mbele gurudumu la maendeleo.
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Pangani akizungumza katika mkutano huo.
Mkuu wa wilaya ya Pangani.Zainabu Issa akizungumza katika mkutano huo ambapo alimuomba Naibu Waziri huyo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo hilo kuiwekea msukumo barabara ya Tanga-Pangani ili kufungua fursa za kiuchumi kwa wilaya hiyo.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya PanganiSeif Saidi akizungumza katika mkutano huo 
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Pangani,Sabas Chamnbasi akizungumza katika mkutano huo 
Diwani wa Kata ya Pangani Magharibi (CCM) John Semkande akizungumza katika mkutano huo
NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji,Jumaa Aweso akilakiwa na wananchi wa Jimbo la Pangani wakati alipokwenda kuhutubia wananchi wa wilaya ya Pangani kwenye mkutano wa hadhara uliyofanyika uwanja wa sokoni ambapo alisisitiza umoja na mshikamano kwa wananchi ili kuweza kusukuma mbele gurudumu la maendeleo 

NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso akiingia eneo la mkutano kushoto ni Katibu wa CCM wilaya ya Pangani```

No comments: