ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 29, 2017

NELLY KAZIKAZI ATWAA TAJI LA MISS HIGHLEANING 2017

Miss Highlearning 2017, Nelly Kazikazi, akipunga mkono kwa furaha akiwa na washindi wenzake baada ya kutangazwa rasmi na kuvishwa Taji katika shindano la Miss Vyuo Vikuu lililofanyika usiku wa kuamkia jana kwenye Ukumbi wa King Solomon Namanga Dar es Salaam. Kulia ni mshindi wa pili, Queen Elizabeth Makune (kushoto) ni mshindi wa tatu, Melody Thomas. Picha Zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
Shindano hilo pia lilipambwa na burudani kutoka kwa wasanii tofauti kama JK Comedian Jukwaani, Msaga sumu na Barnaba Boy.
Sehemu ya wageni waliofika kushuhudia shindano hilo wakiwa katika meza za VIP
Shoo ilianza kama hivi kwa kufungua na shoo ya pamoja
Hatimaye warembo walianza kupita jukwaani na vazi la ubunifu....
Msaga Sumu akitoa burdani
Hatimaye Warembo walianza kupita jukwaani wakia na vazi la Ufukweni
Majaji wakijadiliana jambo
Dj John Dilinga naye akionyesha shoo, kuigiza umiss
Miss Talent akinyesha jinsi alivyochukua taji hilo.
Hatimaye ukafika muda wa Warembo kupita jukwaani na vazi la usiku.
Ulifika muda wa Barnaba Boy kuwarusha wadau wa urembo ukumbini hapo
Dj Denso kutoka Mafoto City Sound akiwarusha kwa ngoma za Barnaba alipopanda jukwaani
Huku ni nyumba ya Stage warembo wakishoo love
Barnaba Boy akiwachezesha warembo kwa ngoma zake
Warembo wakiwa nyuma ya stage nao wakifuatilia shoo ya Barnaba Boy
Hawa ndiyo warembo wote walioshiriki shindano hilo
Mkurugenzi na mratibu wa shindano hilo, Joseph Musendo akizungumza jukwaani, akiwa na msaidizi wake
Ilipoanza kutangazwa tatu bora
Miss Highlearning 2016, Laura Kway, akimvisha Taji Miss Highlearning 2017, Nelly Kazikazi, baada ya kutangazwa mshindi.
Miss Highlearning 2017, Nelly Kazikazi, akipunga mkono kwa furaha baada ya kutangazwa mshindi.

No comments: