Advertisements

Saturday, December 16, 2017

KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI AZUNGUMZA NA VIONGOZI WAANDAMIZI WASTAAFU

 Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Makakala akizungumza wakati wa kikao cha pamoja na watangulizi wake kilichofanyika jijini Dar es salaam.
 Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa kwanza wa kike wa Idara ya Uhamiaji Bi. Judith Mtawali akimtia moyo na kumpongeza Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Makakala wakati wa kikao hicho.
 Kamishna wa Uhamiaji Mstaafu Piniel Mgonja akichangia jambo katika kikao cha pamoja baina ya Viongozi Waandamizi wastaafu wa Idara ya Uhamiaji na Viongozi Waandamizi waliopo madarakani.
  Mkurugenzi Mkuu Mstaafu  wa Uhamiaji Zanzibar Masauni Masauni akichangia hoja wakati wa kikao cha kubadilishana uzoefu wa kazi
Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Uhamiaji Kinemo Kihomano akiongea wakati wa kikao cha kubadilishana uzoefu wa kazi baina ya Viongozi Waandamizi wastaafu wa Idara ya Uhamiaji na Viongozi Waandamizi wa Idara waliopo madarakani.
Picha ya pamoja ya Viongozi waandamizi wa  Idara ya Uhamiaji waliopo madarakani na Viongozi Waandamizi wastaafu wa Idara hiyo, wakati waliposhiriki katika kikao cha kubadilishana mawazo na uzoefu kilichoitishwa na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt.  Anna Makakala.

No comments: