Advertisements

Friday, December 22, 2017

KUMBUKUMBU

Image result for LUTENI KANALI (MSTAAFU) WILLIE JOHN MASOI
“Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, imani nimeilinda.” (2 Timotheo 4:7)
LUTENI KANALI (MSTAAFU) WILLY JOHN MASOI

Miaka 3 imetimia leo tangu ulipoitwa na Mwenyezi Mungu na kutuacha na upweke. Hata hivyo Baba yetu kipenzi tunaamini unaendelea kutulinda na kutusimamia katika kila tufanyalo. Upendo wako kwetu bado unashamiri miongoni mwetu na tunaomba uendelee kuimba na Malaika.

Unakumbukwa na mke wako kipenzi Mary-Salome, watoto, wakwe, wajukuu, shemeji, ndugu, jamaa, marafiki na majirani zako.

Raha ya Milele umpe, ee Bwana, na Mwanga wa Milele Uingazie Roho ya Marehemu Luteni Kanali (Mstaafu) Willy John Masoi. Apumzike kwa Amani, Amina. 2Tim:4:7

No comments: