Tune in kumsikiliza Dk. Frank Minja, mwanadiaspora, ambaye anarudisha ujuzi wake aliopata marekeni nyumbani, kwa kuboresha huduma za radiologia. Dr. Minja amekuwa anashirikiana na hospitali ya Muhimbili – taasisi ya MOI kwa muda sasa kuleta teknolojia ya kisasa ya ufanyaji wa vipimo na tiba ya radiologia. Pata ufahamu wa mchango wake, maboresho, changamoto zilizopo, na mafunzo. Usikose Jumamosi hii Februari 3, saa moja usiku (saa za Afrika Mashariki) kupitia mtandao wa Facebook yaani facebook live kupitia hapa: www.facebook.com/dicotausa
ANGALIA LIVE NEWS
Friday, February 2, 2018
Je, umeshawahi kuhitaji huduma ya X-Ray, CT Scan, Ultrasound kwa ajili yako au ndugu yako?
Tune in kumsikiliza Dk. Frank Minja, mwanadiaspora, ambaye anarudisha ujuzi wake aliopata marekeni nyumbani, kwa kuboresha huduma za radiologia. Dr. Minja amekuwa anashirikiana na hospitali ya Muhimbili – taasisi ya MOI kwa muda sasa kuleta teknolojia ya kisasa ya ufanyaji wa vipimo na tiba ya radiologia. Pata ufahamu wa mchango wake, maboresho, changamoto zilizopo, na mafunzo. Usikose Jumamosi hii Februari 3, saa moja usiku (saa za Afrika Mashariki) kupitia mtandao wa Facebook yaani facebook live kupitia hapa: www.facebook.com/dicotausa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment