Advertisements

Sunday, February 18, 2018

MKUTANO WA UZINDUZI WA KAMPENI JUMAPILI FEB 18, 2018


Karibuni katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni ya Urais DMV siku ya J2 Feb 18, 2018 kuanzia saa 11 jioni 5 pm njoo usikie *SERA* za mgombea Urais Lucas Mukami (DJ Luke)

Ukumbi ni Indian Spring Terrece Local Park

9717 Lawndale Dr,

Silver Spring, MD 20901
  • Usajili wa Jumuiya
  • sensa ya wanajumuya DMV
  • Kujenga Tovuti ya jumuiya
  • Kuwapa wanajumuiya uwezo wa kunyanyuana wenyewe kwa wenyewe*
  • kuingia ubia na wanasheria.
  • kuangalia uwezo kupata scholarships, mifuko ya misaada
  • Semina za Afya na upimaji wa afya.
  • Bima ya afya na maisha
Fika bila kukosa usikilize sera madhubuti za maendeleo kwa DMV mpya zitakazo ipeleka DMV pale unapotaka.
Kutakua na vinywaji vyepesi.
Kama kuna mwanaDMV angependa kuleta vitafunio au chakula cha kuuza anakaribishwa

PAMOJA KWA UMOJA TUJENGE DMV MOJA 


KaRiBu

No comments: