ANGALIA LIVE NEWS

Friday, February 2, 2018

PATROBAS KATAMBI AFUNGUKA MAZITO

1 comment:

Anonymous said...

Yeye mbona alipewa ukatibu wa vijana ina maana alikuwa na ndugu au alikuwa mke /muma wa viongozi wa CHADEMA. Vipi kuhusu nepotism wanayofanya CCM? Hawaoni Kikwete/Ridhiwani/Salma,au Mwinyi na wanawe, au Bulembo na mwanawe, vipi Warioba na wengineo wengi? Asijikoshe huyo Katambi kuna mengi maovu yanayofanyika CCM kuliko vyama vyote ila ni kawaida ya binadamu kujifanya hawaoni>