Katibu Mtendaj wa Bodiya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo akifafanua jambo wakati wa kikao kazi na wadau wa sekta ya Filamu ambao pia ni Wanachama wa Chama Cha Waendeshaji wa Biashara ya Utali Tanzania (TATO) jana Jijini Arusha. Lengo la kikao hicho ni kuwajengea uelewa wadau hao wa filamu kuhusu taratibu mbalimbali za kuzingatia pindi wanapojihusisha na masuala ya filamu. Kulia ni Afisa Maendeleo ya Filamu Benson Mkenda.
Afisa Maendeleo ya Filamu kutoka Bodi ya Filamu Tanzania Benson Mkenda akifafanua jambo wakati wa kikao kazi na wadau wa sekta ya Filamu ambao pia ni Wanachama wa Chama Cha Waendeshaji wa Biashara ya Utali Tanzania (TATO) jana Jijini Arusha. Lengo la kikao hicho ni kuwajengea uelewa wadau hao wa filamu kuhusu taratibu mbalimbali za kuzingatia pindi wanapojihusisha na masuala ya filamu. Kushoto ni Katibu Mtendaj wa Bodiya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo
Mhasibu kutoka Bodi ya Filamu Tanzania Adrian akitoa ufafanuzi kuhusu namna wanavyoshughulikia malipo ya wadau wanapowasilisha maombi ya vibali vya filamu katika ofisi yao wakati wa kikao kazi na wadau wa sekta ya Filamu ambao pia ni Wanachama wa Chama Cha Waendeshaji wa Biashara ya Utali Tanzania (TATO) jana Jijini Arusha. Lengo la kikao hicho ni kuwajengea uelewa wadau hao wa filamu kuhusu taratibu mbalimbali za kuzingatia pindi wanapojihusisha na masuala ya filamu.
Katibu Mtendaj wa Bodiya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo akionyesho kanuni zinazotumika katika sekta ya filamu nchini wakati wa kikao kazi na wadau wa sekta ya hiyo ambao pia ni Wanachama wa Chama Cha Waendeshaji wa Biashara ya Utali Tanzania (TATO) jana Jijini Arusha. Lengo la kikao hicho ni kuwajengea uelewa wadau hao wa filamu kuhusu taratibu mbalimbali za kuzingatia pindi wanapojihusisha na masuala ya filamu. Kulia ni Afisa Maendeleo ya Filamu Benson Mkenda.
Katibu Mtendaji wa Chama Cha Waendeshaji wa Biashara ya Utali Tanzania (TATO) Sirili Akko akichangia hoja wakati wa kikao kazi na wadau wa sekta ya filamu ambao pia ni Wanachama wa Chama Cha Waendeshaji wa Biashara ya Utali Tanzania (TATO) jana Jijini Arusha. Lengo la kikao hicho ni kuwajengea uelewa wadau hao wa filamu kuhusu taratibu mbalimbali za kuzingatia pindi wanapojihusisha na masuala ya filamu.
Mmoja wa washiriki wa kikao baina ya Bodi ya Filamu Tanzania na Chama Cha Waendeshaji wa Biashara ya Utalii Tanzania (TATO) ambaye pia ni mmiliki wa Kampuni ya African Environments Bw. Richard Beatty akichangia hoja wakati wa kikao hicho jana Jijini Arusha. Lengo la kikao hicho ni kuwajengea uelewa wadau hao wa filamu kuhusu taratibu mbalimbali za kuzingatia pindi wanapojihusisha na masuala ya filamu.
Mmoja wa washiriki wa kikao baina ya Bodi ya Filamu Tanzania na Chama Cha Waendeshaji wa Biashara ya Utali Tanzania (TATO) ambaye pia ni mmiliki wa Kampuni ya Jevas Hotel Bw. Leopald Kabendera akichangia hoja wakati wa kikao hicho jana Jijini Arusha. Lengo la kikao hicho ni kuwajengea uelewa wadau hao wa filamu kuhusu taratibu mbalimbali za kuzingatia pindi wanapojihusisha na masuala ya filamu.
Baadhi ya washiriki wa kikao baina ya Bodi ya Filamu Tanzania na Chama Cha Waendeshaji wa Biashara ya Utali Tanzania (TATO) wakifuatilia mada wakati wa kikao hicho jana Jijini Arusha. Lengo la kikao hicho ni kuwajengea uelewa wadau hao wa filamu kuhusu taratibu mbalimbali za kuzingatia pindi wanapojihusisha na masuala ya filamu. (Picha na: Frank Shija – MAELEZO)
No comments:
Post a Comment