Advertisements

Friday, June 1, 2018

FRIENDLY REMINDER! YAH: ADA YA UANACHAMA DMV

Malipo ya $ 20 ya kujiandikisha kupiga kura yaliyolipwa mwezi March 2018 yanamfanya mwanajumuiya kuwa "active member" kuanzia March 2018 mpaka May 2018.
Hivyo basi, wale wote waliolipa $20 mwezi March, tunatakiwa kulipia ada ya uanachama ya mwaka $10/mwezi au $100/ miezi 10 iliyobaki(June 2018 mpaka March 2019).


Tafadhali tuma ada yako kupitia cashapp kwa namba hii:

Ali Mikidadi/ATC-Metro Assistant Treasurer

*+12016282133*

Au

 ATC

RT # 054001725
Acc# 4350560920
TD Bank

Kama umekwishalipia
Tunashukuru sana kwa kujitolea.



Tunatanguliza Shukran kwa moyo wa kujitolea kujenga jumuiya yetu

No comments: