Leo tarehe 28/06/2018 Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini amepokea ripoti ya Ukaguzi Maalum wa Migodi ya Madini ya Vito (Gemstone) pamoja na madini ya Kinywe (Graphite) kutoka kwa mwenyekiti wa timu ya ukaguzi Profesa Justinian Ikingura
Leo tarehe 28/06/2018 Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini amepokea ripoti ya Ukaguzi Maalum wa Migodi ya Madini ya Vito (Gemstone) pamoja na madini ya Kinywe (Graphite) kutoka kwa mwenyekiti wa timu ya ukaguzi Profesa Justinian Ikingura .
Mnamo tarehe 17 6/2018 katibu mtendaji wa Tume ya Madini aliteua timu ya watu sita ili kufanya ukaguzi maalum katika maeneo ya uchimbaji wa madini ya vito na Kinywe yaliyopo katika wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro.Lengo la ukaguzi huo lilikua ni utekelezaji wa maelekezo ya Naibu Waziri wa Madini Dotto Biteko aliyoyatoa wakati akiwa katika ziara ya kikazi mkani Morogoro.
No comments:
Post a Comment