Advertisements

Monday, June 25, 2018

MAULID YA BABY AHYAN SHARIF KENSINGTON,MARYLAND

Wazazi wa Baby Ahyan Sharif, Sarah na Alawi akipata picha ya pamoja na mtoto wao siku ya Jumapili June 24, 2018 Kensington, Maryland siku walipomfanyia maulid mtoto wao huyona kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki. Picha na Vijimambo Blog
Baby Ahyan Sharif akiwa amebebwa na mpiga picha maarufu DMV Iska Jojo, kulia na mama yake mzazi Sarah Towo.
Baby Ahyan Sharif akiangalia kamera wakati akipata picha akiwa amebebwa na Iska Jojo mpiga picha maarufu zenye ubora wa hali ya juu DMV.
Mautaadh wakiondesha kisomo cha maulid ya baby Ahyan.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 

No comments: