Advertisements

Saturday, June 30, 2018

SHEREHE YA HARUSI YA ZUHURA NA RASHIK GAITHERSBURUG, MARYLAND

Bi. harusi Zuhura akiingia ukumbini siku ya Ijumaa Hune 29, 2018 kwnye sherehe ya harusi yao na Rashik (hayupo pichani) iliyofanyika Marriott iliyopo Gaithersburg, Maryland nchini Marekani. Picha na Vijimambo Blog na Kwanza Production
Bi harusiZuhura akiwa ukumbini tayari.
Ndugu, jamaa na marafiki wakiselebuka na kufurahia kwa kucheza mduara katika sherehe ya harusi ya Zuhura na Rashik.
Bi. harusi akiwa maza kuu.
Bwn. harusi Rashik akiingia ukumbini, kushoto ni Mariam Kalala Nyang'oro aliyakua mshereheshaji kwenye sherehe ya harusi hiyo.
Bibi na Bwana harusi wakiwa meza kuu.
Bibi na Bwana harusi wakipata mulo.
Kushoto ni baba wa Bi. harusi Mzee Lilah akitoa nasaha kwa maharusi na kulia ni Mariam akisherehesha sherehe ya harusi ya Zuhurana Rashik.
Bibi na Bwana harusi wakielekea kukata keki.
Bibi na Bwana harusi wakikata keki.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

Zuhura akimlisha keki mumewe.
Rashik akimlisha keki mkewe.




No comments: