Advertisements

Saturday, July 21, 2018

RAIS DKT MAGUFULU ATOA POLE KWA RAIS MSTAAFU DKT KIKWETE KWA KUFIWA NA BABA MZAZI WA MKEWE MAMA SALMA KIKWETE

RAIS John Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli, wamefika nyumbani kwa rais mstaafu, Jakaya Kikwete, kutoa pole kwa kufiwa na baba mzazi wa mkewe Mama Salma Kikwete, marehemu Rashid Mkwachu, nyumbani Msasani jijini Dar es Salaam leo Julai 21, 2018.
Rais John Magufuli akilakiwa na rais mstaafu Jakaya Kikwete alipofika kutoa pole kwa kufiwa na baba mzazi wa mkewe Mama Salma Kikwete, marehemu Rashid Mkwachu, nyumbani kwa wafiwa Msasani jijini Dar es Salaam leo Julai 21, 2018.
Mke wa Rais Magufuli, Mama Janeth Magufuli, akilakiwa na Kikwete kwenye msiba huo.
Magufuli akimpa pole mke wa Kikwete, Mama Salma Kikwete.
Magufuli na Kikwete wakati wa dua. 
…Dua ya familia kwa ajili ya marehemu.
Rais na mkewe wakiagana na wafiwa.
…Akiendelea kuagana na waliofika msibani.
Magufuli na mkewe wakisindikizwa. 

Picha na IKULU

No comments: