MAHOJIANO YA KUSISIMUA - MTANZANIA DAUDI MAYOCHA anayeishi MAREKANI (USA) safari yake huko, alivyoingia na Dola 30
4 comments:
Anonymous
said...
Ahsante sana bwana Daudi P. Mayocha. Nimependa maojiano yako na bwana Sunday Shomari. Story yako in a tia motisha na kufundisha. Nina fahamu your humble beginning mpaka kufikia hapa ulipo. Endelea kuwa mtu asiye na makuu, hiyo tabia yako itakufikisha mbali Zaidi ya ulipo sasa.Sito taja jina langu ,ila wewe na mimi tulikuja ndege moja na tulikaa kiti kimoja, nadhani hapo unajua mimi ni nani. Nakutakia kila la kheri katika future endeavor.
To be honest daudi very determined and extremely smart always alikuwa ananikumbusha mwalimu mkandawile yule wa tuition . Very smart man . Daudi is true definition of USA, work hard pay your taxes follow the law you will be fine .He has a good family and he takes care of his mom . God bless him its me Jemima gondwe Doel

Inatia moyo Sana.Asante Bwana Shomari kuandaa mahojiano hayo; na Asante Sana Nd Mayocha mmefanya mahojiano ya kuelimisha na kutia moyo jamii,

Post a Comment