ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, August 28, 2018

MAMA GWIJI WA KIMATAIFA WA MITINDO AWASILI SEATTLE TAYARI KUWASHA MOTO KWENYE KONGAMANO LA DICOTA

Mama wa mitindo Asya Idarous Hamsini akiwa uwanja wa ndege mara tu alipowasili Seattle jimbo la Washington tayari kuhudhuria kongamano la DICOTA litaloanza kufanyika kuanzia alhamisi Aug 30, 2018, kongamano hilo litahudhuriwa na watu mbalimbali kutoka ndani na nje ya Marekani akiwemo Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Wilson Masilingi.

No comments: