ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, September 20, 2018

MISA YA KUMBUKUMBU YA MAISHA YA JOSHUA MUZUMA

Familia ya Muzuma wanapenda kuwajulisha kuwa wanatarajia kuwa ibada ya misa ya kumbukumbu ya maisha ya mpendwa wetu Joshua Muzuma siku ya Sept 22, 2018 kuanzia saa 9 kamili (3pm) katika kanisa la 
Swahili Lutheran Church, 
1605 Veirs Mill Rd, 
Rockville, MD 20876

Ukipata taarifa hii mtaarifu na mwenzio.

Kwa taarifa zaidi wasiliana na:
Joseph +255 62 260 2446
Mary 678 472 6320
Martina 312 493 7126
Oscar 765 276 7587
Helena 667 200 6196
Kangalage 773 658 3503
Dj Luke 301 661 6696
Garry 845 807 3413

No comments: