UPDATES MSIBA WA MZEE MWILIMA
Kwa wanajumuiya watakaoweza kwenda kuifariji familia ya Mzee Mwilima wanaweza kufanya hivyo kuanzanzia sasa. Mke wa marehemu Bi Leyla Mwilima yeye yupo nyumbani saizi na dada Asya yupo nyumbani Sasa
ADDRESS:
1987 7th Avenue(Adam Clayton Powell)#5A
New York, NY 10026
Mazishi ni kesho Alhamisi Sept 13. Saa Saba mchana
Address: Harlem Islamic Center
2001 7th Ave btn 120th na 121st Street Harlem
Baada ya hapo tutaelekea mazikoni
New Jersey: Marlboro Muslim Memorial
340 Spring Valley Rd
Morgan ile, NJ 07751
** Kutakuwa na chertered passenger van kwa wale watakao hitaji usafiri contact Shabani 3477128539
Kwa maelezo zaidi wasiliana na:
1. Bariko Mwilima (347) 208-5199
2. Seif Akida +1 (929) 450-1315
3. Shabani Mseba (347) 712-8539

No comments:
Post a Comment