ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 3, 2018

UPUMZIKE KWA AMANI MPENDWA WETU NYAMIZI

Kushoto ni Mhe. Mwantumu Mahiza aliyeapishwa siku ya Jumatano Oct 3, 2018 kuwa kiongozi wa Skauti na Mhe. Rais John Pombe Magufuli, akiwa kwenye msiba kutoa pole kwa wafiwa. Kulia ni dada Salma Moshi dada ya marehemu.
Watu mbalimbali waliojitokeza wakitoa pole kwa dada Salma Mosi, kulia ni Mhe. Mwantumu Mahiza.
Al-Masjid Swabrina ulikoswaliwa mpendwa wetu Nyamizi kabla ya kupumzishwa katika safari yake ya mwisho.
Watu mbalimbali waliohudhuria mazishi ya mpendwa wetu Nyamizi aliyezikwa leo Jumatano Oct 3, 2018 jijini Dar katika makaburi ya chang,ombe
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

3 comments:

Tumaini Geofrey Temu said...

Kuna mwenzetu Aliugua anamtoto na Nyumba Ina dawa dola 6000 Simtaji labda akijitambulisha...

Tumaini Geofrey Temu said...

Kuna mwenzetu Aliugua anamtoto na Nyumba Ina dawa dola 6000 Simtaji labda akijitambulisha...

Unknown said...

R.I.P Nyamizi forever in my heart