Mkuu wa Kituo cha huduma za Mradi wa maendeleo ya Mji wa Fumba Franco Gohse akiwaeleza Wanajumuiya na Waandishi wa Habari kutoka Zanzibar na Pemba Press Club namna wanavyotunza mazingira kwa faida ya kizazi cha sasa na baadae.
Jumuiya ya Waandishi wa Habari Zanzibar (ZPC) na Jumuiya ya Waandishi wa Habari Pemba (PPC) watembelea Mradi wa Maendeleo ya Mji wa Fumba Nyamanzi (FTD) kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na utunzaji wa mazingira.
Maneja Mauzo wa FTD Fatma Mussa akitowa maelezo kwa Viongozi wa Jumuiya za Waandishi wa Habari Zanzibar (ZPC) na (PPC) hawapo pichani,walipotembelea Mradi huo huko Fumba Nyamanzi, kulia kwake ni Franco Gohse na kushoto Muhsini kotoka Mradi wa Maendeleo ya Mji wa Fumba.
Viongozi wa Jumuiya za Waandishi wa Habari Zanzibar (ZPC) na (PPC) wakimsikiliza Meneja Mauzo wa Kampuni ya CPS inayojenga Mji wa Kisasa wa Fumba Nyamanzi. Viongozi hao walitembelea kujifunza mambo mbali mbali kuhusu Mradi huo.
Msimamizi wa Bustani kutoka Kampuni ya CPS Muhsin Said akitoa maelezo kwa Wanajumuiya na Waandishi wa Habari kutoka ZPC na PPC kuhusu namna wanavyotunza na kuhifadhi mazingira huko Fumba.
Mkuu wa Kituo cha huduma za Mradi wa maendeleo ya Mji wa Fumba Franco Gohse akiwaeleza Wanajumuiya na Waandishi wa Habari kutoka Zanzibar na Pemba Press Club namna wanavyotunza mazingira kwa faida ya kizazi cha sasa na baadae.
Mkuu wa Kituo cha huduma za Mradi wa maendeleo ya Mji wa Fumba Franco Gohse akiwaeleza Wanajumuiya na Waandishi wa Habari kutoka Zanzibar na Pemba Press Club kuhusu kutengeneza mbolea ya kiasili kwa kutumia majani ili kuyalinda mazingira yasiathirike.
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya CPS-Lives LTD inayojenga Mji wakisasa wa Fumba Tobias Dietzold akizungumza na Wanajumuiya ya Zanzibar Press na Pemba Press Club mara baada ya kutembelea mradi huo unaondelea kujengwa. Picha na Miza Othman-Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment