ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 26, 2018

TIMU YA BUNGE YATAPA KURUDI NA UBINGWA

Wachezaji wa Bunge Sports Club, kutoka kushoto
Flatei Massay, Venance Mwamoto na Angelina Mabula wakifanya mazoezi Uwanja wa Jamhuri

Mbunge wa Manyoni mashariki na Mkimbia wa timu ya Bunge Sports Club, Daniel Mtuka akifanya mazoezi Uwanja wa Jamhuri
Mchezaji wa timu ya Bunge ya Netbal, Agness Marwa akimiliki mpira wakati wa mazoezi ya timu hiyo

Kocha wa timu Netiboli, Eleonora Mongi (mwenye mpira) akizungumza na wachezaji wake
Wachezaji wa mpira wa Miguu wa Bunge FC 'Ndugai Boys' wakifanya mazoezi Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo tayari kwa kushiriki michuano ya Mabunge ya Afrika Mahsriki Bujumbura Burundi mapema mwezi ujao.

No comments: