Advertisements

Tuesday, December 4, 2018

TASWIRA YA KISOMO CHA KUMUOMBEA MZEE MMANGA BROOKLYN NEW YORK.


Ustadh Haj Khamis akiongoza kisomo cha kumuombea Mzee Mmanga baba yake Latifah, Kisomo  hicho kilifanyika Brooklyn, NY.
Mzee Mmanga alifariki mwezi uliopita huko nyumbani Tanzania. Familia yake inayoishi hapa New York iliandaa kisoma hicho.


Sheikh Maftah akitoa mawaidha kamahitimisho baada ya kisoma, Mawaidha ya Sheikh ma Maftah ni dawa tosha kusikiliza.


Hapa ni wajukuu wa Mzee Mmanga Ashraf, Baia, Amisa na mtoto wa Mzee Mmanga Latifah. Taswira zaidi nenda chini.


No comments: