Advertisements

Sunday, January 6, 2019

IBADA YA MISA YA SHUKURANI

Wagani waalikwa wakiowemo wachungaji na mwimbaji Milka (kushoto) aliyekuja maalum kutoka Pennsylvania akijumuika pamoja katika ibada ya misa ya shukurani iliyofanyika siku ya Jumapili Dec 30, 2018 Jumapili ya mwisho ya mwaka 2018. Wapili toka kushoto ni mchungaji Tito Herera aliyekua mgeni rasmi kwenye misa hiyo.
Meza kuu.

Kiongozi wa Ibada Demetria Milanga akielekeza jambo kwenye ibada ya misa ya shukurani.
 Mchungaji Ferdinad Shideko ambaye ndeiye mchungaji wa kanisa la The Way of the Cross Gospel Ministrie akianza ibada ya misa ya shukurani kwa maombi.
Mchungaji Tito Herera akitoa mahubiri kwenye ibada ya misa ya shukurani iliyofanyika siku ya Jumapili Dec 30, 2018.

Bishop Melchizedek Martulu akihitimisha Ibada ya misa ya shukurani kwa maombi.
Juu na chini ni waumini wakitoa ushuhuda wao
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


No comments: