Advertisements

Sunday, February 3, 2019

KISOMO CHA BI ZAINAB M. MWINYI NEW YORK


Ustadh Hajj Khamis na Ustadh Abbas wakiongoza kisomo cha Mama yake Ally Jecha, Bi. Zainab M. Mwinyi kilichofanyika Mt Vernon New York siku ya Jumamosi. Ally Jecha ni Staff wa Tanzania Mission New York.

Bi Zainab alifariki huko nyumbani Zanzibar, Tanzania.


BISMILLAH 
INNA LILLAHI WA INNA ILAYHI RAJ'OON


Ally Jesha akitoa shukrani kwa wa Community ya Watanzania New York baada ya kisomo


Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa, Mhe. Modest J. Mero akipata Ukodac na Ally Jesha baada ya Kisomo.




No comments: