ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, February 10, 2019

PITAPITA YA VIJIMBAMBO SERENGETTI LOUNGE, WASHINGTON, DC.


 Wadau mbalimbali wakijumuika pamoja kwenye kiota kipya cha Serengetti Lounge kilichopo Washington, DC. Kiota kikiwa kimefanyiwa matengenezo ya hali yajuu na kwa mara ya kwanza kuwa na mpishi mTanzania. katika kiota hiki chenye ghora moja ambapo chini ni bara na mgahawa na Disco ni Juu. Mgahwa unafunguliwa kila siku ya Jumanne mpaka Jumamosi kuanzia saa 11 jioni na kufungwa siku ya Jumapili na Jumatatu Karibu Serengetti Lounge.
 Wadau wakipata ukodak moment.
 Wadau waliofika Serengeti wakipata chakula.
Wadau wakipata picha ya kumbukumbu
 Wageni mbalimbali kutoka majimbo tofauti wakiwa ndani ya Serengeti.
Wadau wakifanya majadiliano ya jambo fulani walipokua Serengetti Lounge.
Kwa picha zaidibofya soma zaidi

No comments: