Advertisements

Thursday, April 11, 2019

MAMBO YA TANZANIA DIASPORA CLOBAL CRDB WAKIFANYA YAO.


CRDB wakifanya yao kwenye kongamano la Diaspora kama unavyoona mambo mubashara kabisa kiroho safi. 



Asya Malikia wa nguvu akiwa mubashara kabisa akipeperusha mavazi yake kwenye kongamano hilo lililofanyika ndani ya Meli kubwa ya Baltic Queen hapa Stckholm Sweden. Hapa chini unaweza kujitiririsha kiroho safi.


No comments: