Advertisements

Monday, May 27, 2019

AFRICA DAY GALA NIGHT WASHINGTON, DC

Balozi wa Afrika Union Mhe.Dkt. Arikana Chihombori Quao akisoma hotuba yake siku ya chakula cha jioni ya siku ya Afrika iliyofanyika katika hoteli ya Marriottt Mauquis siku ya alhamisi May 23, 2019.
 Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mhe. Wilson Masilingi akijumuika na waheshimiwa Mabalozi wenzake katika hafla hiyo.
Picha ya pamoja ya waheshimiwa Mabalozi.
Kati ni Balozi wa Tanzania nchiniMarekani, Mhe. Wilson Masilingi akijumuika na mabalozi wenzake kwenye siku ya Afrika iliyofanyika siku ya Alhamisi May 23, 2019 Washington,DC.
Picha zote kwa hisani ya  Cypace/vmo
Kwa picha kibao bofyasoma zaidi


 







No comments: