Advertisements

Saturday, May 25, 2019

Waziri Prof. Kabudi akutana na Kiongozi wa Kanisa la Othodox

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa katika mazungumzo na Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Othodox Afrika, Papa Beatitude Theodoros II,katika ofisi ndogo za Wizara zilizoko Dar Es Salaam. 
May 23,2019 
Waziria wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa katika mazungumzo na Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Othodox Afrika, Papa Beatitude Theodoros II pamoja na ujumbe alioambatana nao,katika ofisi ndogo za Wizara zilizoko Dar Es Salaam.
May 23,2019 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Othodox Afrika, Papa Beatitude Theodoros II katika Ofisi ndogo za Wizara zilizoko Dar Es Salaam,May 23,2019 

No comments: